Public Investments

Majukumu ya Idara ya Mitaji ya Umma ni kusimamia ukusanyaji wa mapato yanayotokana na ukodishwaji wa majengo ya serikali, kupitia taarifa za hesabu za mashirika ya serikali, kukamilisha ukaguzi wa manunuzi, kuhakikisha mali za serikali zinaingizwa katika assetregister, pamoja na kuandaa ripoti za ukaguzi.

We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…