Head Office Pemba

Majukumu makuu ya Idara hii ni kuratibu shughuli za utendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango kwa upande wa Pemba.Shughuli zenyewe kama vile;

  • Kusimamia shughuli za uhasibu serkalini
  • Kuratibu na kusimamia mali za Serikali
  • Kupokea na kujibu hoja katika ngazi ya idara na kufikisha Wizarani hoja za Kitaifa kwa ufafanuzi.
  • Kuratibu malipo ya Fencheni na Viinua mgongo kwa wastaafu serikalini na Kuratibu fedha za matumizi (OCs) kwa ofisi za Serikali Pemba.
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…