External Finance

Idara ya fedha za nje ina jukumu la ufuatiliaji na uratibu wa misaada ya mikopo kutoka kwa washirika wa maendeleo, kufanya tathmini ya miradi ya Unguja na Pemba, kushiriki mikutano ya kimataifa kwa lengo la kutafuta maeneo mapya ya misaada.

We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…