Uzinduzi wa Meli

Rate this item
(0 votes)

Uzinduzi wa Meli

Serikali Mapinduzi ya Zanzibar imesema imeweka Sera nzuri zinazotekelezeka ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na wanje (DDI na FDI) ili kuweza kukuza Uchumi wa nchi na kuleta Maendeleo nchini, hii imewezesha kufikia malengo yaliyowekwa ya kimaendeleo ikiwemo kuimarisha usafiri bora na wauhakika wa baharini. Hayo yameelezwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dr. Ali Mohamed Shein kwenye sherehe za kuizindua Meli ya Kilimanjaro VII ya kampuni ya Azam Marine Sherehe hizo zolifanyika huko Verde nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

Read 6576 times Last modified on Thursday, 12 December 2019 10:31
More in this category: « Ukaguzi wa Idara ya IT

In case you need help

*
 

Question? Call

Our support is available on Weekdays
Monday-Friday: 8am to 3pm
Saturday-Sunday: Weekend

 

Need support?

For more support u can visit our website www.mofzanzibar.go.tz or write us an email info@mofzanzibar.go.tz

 

Testimornial

Bellow are some interesting links for you! (under costruction)
Learn more...