Rate this item
(0 votes)

Waziri wa Fedha na Mipango akagua Idara ya Tehama

Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa. Amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya wafanyakazi wa wizara yake, ofisi Kitengo cha Tehama (IT), wakati wa muendelezo wa ziara yake ya kukagua ofisi ambazo zimo ndani ya wizara, lengo ni kuweza kuwatambua wafanyakazi pamoja na kutambua changamoto mbali mbali zinazowakabili wakati wa utendaji wao wa kazi za kila siku. Katikati ni waziri wa Fedha na Mipango, kushoto ni mtaalamu wa Tehama wa wizara, kulia ni ndugu Ali Bakari, Mkurugenzi idara ya Uendeshaji na Utumishi.

Read 5468 times Last modified on Thursday, 12 December 2019 10:48

In case you need help

*
 

Question? Call

Our support is available on Weekdays
Monday-Friday: 8am to 3pm
Saturday-Sunday: Weekend

 

Need support?

For more support u can visit our website www.mofzanzibar.go.tz or write us an email info@mofzanzibar.go.tz

 

Testimornial

Bellow are some interesting links for you! (under costruction)
Learn more...