Ukaguzi wa Wizara

Rate this item
(0 votes)

Waziri wa Fedha na Mipango akagua Idara ya Kalamazuu

Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa. Amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya wafanyakazi wa wizara yake, ofisi ya Kalamazuu, wakati wa muendelezo wa ziara yake ya kukagua ofisi ambazo zimo ndani ya wizara, lengo ni kuweza kuwatambua wafanyakazi pamoja na kutambua changamoto mbali mbali zinazowakabili wakati wa utendaji wao wa kazi za kila siku.

Read 6297 times

In case you need help

*
 

Question? Call

Our support is available on Weekdays
Monday-Friday: 8am to 3pm
Saturday-Sunday: Weekend

 

Need support?

For more support u can visit our website www.mofzanzibar.go.tz or write us an email info@mofzanzibar.go.tz

 

Testimornial

Bellow are some interesting links for you! (under costruction)
Learn more...